Search

140 results for Stephano Simbeye :

  1. Panga pangua ya Rais Samia yapita, yampa Chongolo mkoa

    Rais Samia Suluhu Hassan ameteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe akichukua nafasi ya Dk Francis Michael ambaye uteuzi wake umetenguliwa

  2. Sh3.1 bilioni zaleta matumaini upatikanaji maji Momba

    Zaidi ya Sh3.1 bilioni zilizopelekwa wilayani Momba Mkoa wa Songwe zimeanza kuleta matumaini ya upatikanaji wa maji katika maeneo yenye ukame wa muda mrefu.

  3. NFRA kuanza tena kununua mahindi Songwe

    Serikali imesema Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), utaanza tena kununua mahindi baada ya kusitisha ununuzi huo tangu mwezi Septemba mwaka huu, kutokana na kuwa na deni kubwa kwa...

  4. Majaliwa ataka ubunifu kuondoa msongamano Tunduma

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kubuni mradi wa maegesho ya malori ili kupunguza msongamano uliopo katika Mji wa Tunduma.

  5. Polisi washirikiana na wanahabari kuwawezesha kutekeleza majukumu

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe limewataka waandishi wa habari kuripoti mara moja wanapopata madhila wakati wanatimiza majukumu yao ili waliowafanyia hayo waweze kuchukuliwa hatua.

  6. Wafugaji kuku wapewa mbinu

    "Chakula cha kuku lazima kizingatie makundi yote matano ya vyakula yanayohitakika mwilini, pia mkulima anapaswa afahamu aina ya kuku alio nao kama ni wa nyama kuna chakula chake na iwapo ni wa...

  7. RPC Songwe awasaka waliowapiga viajana watatu mkutano wa Chadema

    Kamanda wa Polisi mkoa Songwe, ACP Theopista Mallya amesema Jeshi hilo linawasaka watu waliowajeruhi vijana watatu wakiwatuhumu kumwaga pilipili katika mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika...

  8. Chadema wanguruma Tunduma, vurugu zazuka

    “Watanzania wana maisha magumu siyo kwamba Mungu anapenda ni sababu mmeamua kukaa kimya na kuruhusu watu msiowachagua kuendelea kuwaongoza, tunageuzwa kama chapati,”

  9. Wafugaji kuku Songwe walalamikia soko, dawa, chakula

    Wafugaji wa kuku wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa vifaranga, chakula na dawa za tiba iwapo ukijitokeza ugonjwa.

  10. Watano wafariki ajalini, wakiwemo mama na wanawe pacha

    Mama mmoja na wanaye wawili pacha wamefariki katika ajali ya lori kugonga bajaji katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma jana Jumanne Oktoba 17, 2023.

Page 1 of 14

Next